PICHAZ: SHUHUDIA MAMA SAMIA AKIPIGA KAMPENI SIRARI MKOANI MARA LEO

Mgombea Mwenza wa Urais kwa tiketi ya CCM, Mama Samia Suluhu Hassan akiwasili kwenye Uwanja wa Ndege wa Musoma, kuendelea na ziara za mikutano ya kampeni katika mkoa wa Mara leo.
Mgombea Mwenza wa Urais kwa tiketi ya CCM, Mama Samia Suluhu Hassan akifurahia Mcheza Ngoma alipowasili kwenye Uwanja wa Ndege wa Musoma, kuendelea na ziara za mikutano ya kampeni katika mkoa wa Mara leo.Mgomea Mwenza wa Urais kwa tiketi ya CCM, Mama Samia Suluhu Hassan akisalimiana na Mgombea Ubunge jimbo la Musoma Vijijini, Profesa Sospeter Muhongo, baada ya kuwasili kwenye Uwanja wa Ndege wa Musoma, kuendelea na ziara za mikutano ya kampeni katika mkoa wa Mara leo. Mgombea Mwenza wa Urais kwa tiketi ya CCM, Mama Samia Suluhu Hassan, akiwanadi wagombea Ubunge, wa majimbo ya Tarime, wakati wa mkutano wa kampeni uliofanyika leo Sirari mkoani Mara. Kulia ni Chrisopher Kangoye (Tarime Vijijini) na kushoto ni Michael Kimbaki (Tarime Mjini). Wananchi wakimshangilia Mgombea Mwenza wa Urais kwa tiketi ya CCM, Mama Samia Suluhu Hassan wakati wa mkutano wa kampeniuliofanyika Sirari, mkoani Mara. Wananchi wakionyesha bango kutaka Sirari kuwa Mamlaka ya Mji Mdogo, wakati wa mutano wa kampeni uliofanyika katika eneo hilo mkoani Mara. Wananchi wakipiga 'Push Up' kumuunga mkono Mgombea Urais kwa tiketi ya CCM, Dk. John Magufuli, wakati wa mkutano wa kampeni wa Mgombea Mwenza wa Urais kwa tiketi ya CCM, Mama Samia Suluhu Hassa, uliofanyika Sirari mkoani Mara.Mgombea Mwenza wa urais kwa tiketi ya CCM, Mama Samia Suluhu Hassan, akimwelekeza jambo, Mgombea Ubunge jimbo la Tarime Mjini, Michael Kimbaki, katika mkutano wa kampeni uliofanyika leo Sirari mkoani Mara. Kulia ni Mgombea Ubunge jimbo la Tarime Vijijini, Chrisopher Kangoye. Msanii wa Bongo Movie, maarufu kwa jina la Bi Mwenda, akihamasisha wananchi wakati wa mkutano wa kampeni uliofanyika leo, Sirari mkoani Mara. Mgombea Mwenza wa urais kwa tiketi y CCM, Mama Samia Suluhu Hassan akiwaaga baadhi ya viongozi, baada ya mkutano wa kampeni aliofanya leo, Sirari mkoani Mara.
(Picha na Bashir Nkoromo).

Popular posts from this blog

Upepo wakwamisha Uokoaji Meli iliyozama

Walimu wadaiwa kuacha vipindi kukimbilia kufanya kazi migodini