VIDEO: Mambo 3 Usiyoyajua Kuhusu mdada Mkare AVRIL Toka Kenya[Exclusive]

Muimbaji wa Kenya, Avril amekuja nchini kuungana na Ben Pol katika ziara ya kuutambulisha wimbo wao ‘Ningefanyaje.’ Pamoja na ziara hiyo, Avril ameshoot video ya wimbo aliomshirikisha AY inayoongozwa na Hanscana. Haya ni mambo matatu usiyoyajua kuhusu msanii huyo katika vdeo hii hapa1.

Popular posts from this blog

Upepo wakwamisha Uokoaji Meli iliyozama

Walimu wadaiwa kuacha vipindi kukimbilia kufanya kazi migodini