DIAMOND PLATINUMZ Azidi Kupaa Kimataifa...Hii Hapa Mpya Toka Kwake!

Diamond Platnumz a.k.a Baba Tiffah yuko kwenye orodha ya waliotajwa kuwania tuzo zingine za nchini Nigeria, ‘The African Entertainment Legend Awards (AELA)’.
Diamond
Platnumz ametajwa kuwania vipengele viwili, ‘African Legends Artist of The Year’ akichuana na Dbanj, P-Square, Faze, Reggie Rockstone, Asa, R2bees pamoja na 2face. 
Kipengele cha pili anachowania ni ‘Best collabolation’ kupitia wimbo wake ‘Nana’ aliomshirikia Flavour. Katika kipengele hiki wasanii anaowshindana nao ni Wizkid (Ojuelegba) ft Drake, Flavour (Sexy Rosey) ft Psquare, Davido (Fans Mi) ft Meek Mill, Sarkordie (New Guy) ft. Ace, Dbanj (Feeling The Nigga) ft. Akon, Kiss Daniel (Woju Remix) Ft Davido, Tiwa savage, Skepta, Harrysong (Reggae blues) ft. Olamide, Kcee,Orezi,Iyanya, Patoranking (My Woman) ft Wande coal.

Tuzo za AELA zitatolewa Novemba 11, 2015 jijini Lagos, Nigeria.
Ili kumpigia kura Diamond ingia hapa!

Popular posts from this blog

Upepo wakwamisha Uokoaji Meli iliyozama

Walimu wadaiwa kuacha vipindi kukimbilia kufanya kazi migodini