Lowassa asikitishwa na polisi kuwapiga mabomu wafuasi wake

Mgombea urais wa CHADEMA/UKAWA, Edward Lowassa, ameelezea kusikitishwa na hatua ya polisi jijini Tanga kuwapiga mabomu wananchi waliokuwa wakirejea makwao kutoka katika mkutano wake wa kampeni juzi.


“Niliporejea hotelini baada ya mkutano jana (juzi), nilipata taarifa kwamba polisi waliwapiga mabomu wafuasi wa Ukawa, nasikitika sana kwa kitendo kile, kwa sababu tulikubaliana polisi wasipige watu mabomu, tushirikiane katika kufanya kazi pamoja ili kuondoa vurugu". Alisema Mh. Lowassa

Popular posts from this blog

Upepo wakwamisha Uokoaji Meli iliyozama

Walimu wadaiwa kuacha vipindi kukimbilia kufanya kazi migodini