AIBU KUBWA.....MAMA MZAZI APEWA MIMBA NA MTOTO WAKE WA KUMZAA MARA MBILI MFULULIZO momaaaaa

momaaaaa
Duniani kuna vituko,hivi ndivyo unavyoweza kusema baada ya mama mmoja kubeba mimba ya mtoto wake mara mbili mfululizo.
Tukio hilo lilitokea nchini Zimbabwe baada ya mama mmoja ajulikanaye kwa jina la Ethel Vhangare kuwa katika mahusiano na mtoto wake Simon Matsavara wakati mume wake akiwa anaugua ugonjwa wa kupooza.
Kwa mara ya kwanza Simon alimpa ujauzito mama yake lakini baadaye mimba ilitoka wakati ikiwa na miezi mitano siku chache kabla ya kifo cha mumewe Agripah Matsava na kutangaza kwa majirani zake kuwa mimba hiyo ni ya mtoto wake Simon.
Baada ya majirani kupata taarifa hiyo waliamua kumshtaki mama huyo na mwanaye kwa wazee wa mila ambapo walipewa adhabu ya kulipa mifugo mingi kama faini..
Licha ya kifo cha mume wake wawili hao waliendelea na mahusiano yao kama kawaida na ndipo alipopata mimba nyingine ambapo waumini wenzake walishtukia baada ya kushindwa kuhudhuria kanisani na kuamua kwenda kumtembelea na ndipo walipogundua ni mjamzito tena na kwenda kumshtaki polisi ambapo walikuja nyumbani kwake lakini hawakumkuta.

Popular posts from this blog

Kocha mpya wa muda wa Chelsea kabidi awaambie ukweli mashabiki wa Chelsea, hii ndio kauli yake …

Walimu wadaiwa kuacha vipindi kukimbilia kufanya kazi migodini