Moshi Ndio Habari ya Mjini Week Hii..Jionee Umati wa Wasafiri Stand Kuu ya Mabasi ya Mikoani Ubungo


Wiki hii ya Christmas Pale Ubungo stand kuu ya Mabasi ya kwenda Mikoani Hapatoshi, Wasafiri ni wengi kweli Hasa wa Kwenda Mkoa wa Moshi kama ilivyokuwa Kawaida ya Wachaga kipindi hiki cha sikukuu hukitumia kwenda kusalimia Ndugu na Jamaa Huko kwao ….Mbuta Nanga..Ruwa Mangi

Popular posts from this blog

Kocha mpya wa muda wa Chelsea kabidi awaambie ukweli mashabiki wa Chelsea, hii ndio kauli yake …

Walimu wadaiwa kuacha vipindi kukimbilia kufanya kazi migodini