MZIGO MPYA: JB Akiwa “Location”Anammezesha Maneno ya Kiswahili Mzungu

Mwigizaji na mwogozaji wa filamu za Kitanzania, Jacob Stephen “JB” ameonekana akiwa “Location”akimuelezeka jamaa mwenye asili ya nchi za ng’ambo “Mzungu”ambae jina lake halijahamika, kwa kumsomea na kumakalilisha maneno ya kiswahili kwenye kipande cha filamu ambayo wanai-shoot katika eneo hilo.
Bado haijawekwa wazi, jina na lini itatoka filamu hii inayofanyika chini ya kampuni ya Jerusalem Film Campany, ambayo inaongozwa na JB mwenyewe.
Kuzungumzia kazi hii mpya ambayo mzungu ndani, JB kwakifupi alisema;
“Mzungu anapotaka kuongea kiswahili kwenye filamu ni shughuli pevuu”
Tutaendelea kukujuza zaidi.

Popular posts from this blog

Kocha mpya wa muda wa Chelsea kabidi awaambie ukweli mashabiki wa Chelsea, hii ndio kauli yake …

Walimu wadaiwa kuacha vipindi kukimbilia kufanya kazi migodini