ANGALIA PICHA- UKAWA WAFANYA KUFURU JIONI HII MJINI SHINYANGA,WAKUSANYA MAELFU YA WATU,SHUHUDIA MWENYEWE HAPA

Hapa ni katika viwanja vya Mahakama ya Mwanzo Nguzo nane mjini Shinyanga ambapo maelfu ya wakazi wa Shinyanga wamehudhuria mkutano wa hadhara wa mwenyekiti wa baraza la Vijana Chadema Taifa Paschal Patrobas Katambi.Mkutano huo umehudhuriwa na viongozi mbalimbali wa Chadema kanda ya ziwa mashariki na maeneo mbalimbali hapa nchini-

Popular posts from this blog

Kocha mpya wa muda wa Chelsea kabidi awaambie ukweli mashabiki wa Chelsea, hii ndio kauli yake …

Walimu wadaiwa kuacha vipindi kukimbilia kufanya kazi migodini