Shamsa Ford: Bongo Movies Nzima, Irene Uwoya Ndio Mwenye Roho Nzuri Kuliko Wote

Mwigizaji wa filamu,Shamsa Ford amefunguka kwa kusema yake ya moyoni kuhusu ni kwajinsi gani mwigizaji mwenzake, Irene Uwoya anavyojitoa kwa wenzake, kwa kusema kuwa Irene ndie mwenye roho nzuri kuliko wanawake wote wa Bongo Movie.
Mara baada ya kuiweka picha hiyo hapo juu ya Irene Uwoya Shamsa aliandika;
“Kwa mtazamo wangu mimi katika wanawake wa bongo movie nzima hamna mwanamke anayempata iren kwa roho nzuri, ni mtu ambaye anapenda wenzake, anaweza akatumia hata senti yake ya mwisho ilimradi tu akae na wenzake, si kwamba ni tajiri but ana moyo na mapenzi kwa kila mtu bila ubaguzi..I love u irene wangu” Shamsa alimaliza.
Huu ni mtazamo wake tu, msijenge chuki jamani.

Popular posts from this blog

Kocha mpya wa muda wa Chelsea kabidi awaambie ukweli mashabiki wa Chelsea, hii ndio kauli yake …

Walimu wadaiwa kuacha vipindi kukimbilia kufanya kazi migodini