HATARI SANA! UGOMVI WA TAXI DRIVER NA MAMA MJAMZITO KATIKATI YA SAFARI

Dereva wa taxi alikodishwa na
mwanamke ambaye alikuwa ana ujauzito
wa miezi kadhaa huko Nigeria, wakiwa
njiani ukaibuka utata kati yao, dereva wa
taxi akamwambia ashuke wakati hakuwa
amemfikisha mahali walipokubaliana.
Baada ya kuibuka vuta nikuvute,
mwanamke huyo Feyisara aliamua
kumshika nguo dereva aking’ang’ania
kubaki ndani ya gari hiyo, mwishowe
mwanamke akamshika dereva huyo
sehemu za siri, kitendo kilichomkasirisha
dereva huyo, akampiga mpaka
mwanammke huyo akapoteza fahamu.
Polisi wanafanya uchunguzi wa tukio
hilo lakini hadi sasa hakuna mtu yoyote
aliyekamatwa.

Popular posts from this blog

Kocha mpya wa muda wa Chelsea kabidi awaambie ukweli mashabiki wa Chelsea, hii ndio kauli yake …

Walimu wadaiwa kuacha vipindi kukimbilia kufanya kazi migodini