HUYU NDIYE MUUWAJI WA POLISI WAWILI NEW YORK

This 2009 photo provided by the Springfield, Ohio Police Department shows Ismaaiyl Brinsley after an arrest on a robbery charge.
Ismaaiyl Brinsley, 28, anayo historia ya matatizo ya akili na ujambazi huko nyuma Muuaji aliwauwa polisi waliokuwa wamekaa ndani ya gari yao ya polisi na baadae Brinsley kukimbilia kwenye kituo cha Treni na kujipiga risasi na kufa papo hapo  baada ya kuwaona hana pakutokea baada yakuzingirwa na polisi eneo hilo. Watu waliokua karibu na tukio walimsikia muuaji akiwaambia "watch what I'm going to do" na baada ya maneno hayo ndipo alipowaua polisi hao kwa kuwapiga risasi vichwani na juu mwilini maeneo ya kifuani.

Popular posts from this blog

Kocha mpya wa muda wa Chelsea kabidi awaambie ukweli mashabiki wa Chelsea, hii ndio kauli yake …

Walimu wadaiwa kuacha vipindi kukimbilia kufanya kazi migodini