Majambazi 3 Wauawa Barabara Kuu Ya Mombasa

Washukiwa watatu wa ujambazi waliuawa na polisi usiku wa kuamkia leo kwenye barabara kuu ya kuelekea Mombasa. Washukiwa hao wanadaiwa kuwa miongoni mwa genge la majamabzi 6 waliokuwa wameteka nyara basi la abiria lililokuwa likelekea Githurai. Tukio hili limejiri saa chache tu baada ya kikao cha maafisa wakuu wa usalama hapa jijini Nairobi waliowataka wahudumu wote wa matatu kuhakikisha wamewakagua abiria wanaoabiri magari yao.

Popular posts from this blog

Kocha mpya wa muda wa Chelsea kabidi awaambie ukweli mashabiki wa Chelsea, hii ndio kauli yake …

Walimu wadaiwa kuacha vipindi kukimbilia kufanya kazi migodini