DUNIA INA MAMBO! [PICHAZ] KUTANA NA MAJENEZA YENYE MUONEKANO WA CHUPA ZA VINYWAJI MBALIMBALI!

Kama ilivyo kawaida huwa hatuachi kitu
ndio maana naendelea kuitimiza ile
ahadi ya kushare na wewe kila story
inayonifikia, ya leo no moja ya zile za
kushangaza na kufurahisha katika kubwa
tulizowahi kuzisikia ndani ya 2014.
Ulishawahi kufikiria kwamba kuna mtu
atakuja kufanya design ya majeneza
tofauti na tuliyozoea kuyaona?
Moja ya kipekee ilikuwa kutoka Kenya,
ambapo lilitengenezwa jeneza kwa
muundo wa kiti cha kukalia, ya leo iko
tofauti.
Hii inatoka Ghana, jamaa wameunda
majeneza haya kwa muundo wa chumba
ya pombe na vinywaji mbalimbali,
gharama yake unaambiwa ni kama dola
1,000 kila moja.
Wataalamu walioyaunda wamesema kwa
wapenzi wa kinywaji husika anaweza
kujichagulia aina ya jeneza ambayo
angependezwa kuzikwa ndani yake.

Popular posts from this blog

Kocha mpya wa muda wa Chelsea kabidi awaambie ukweli mashabiki wa Chelsea, hii ndio kauli yake …

Walimu wadaiwa kuacha vipindi kukimbilia kufanya kazi migodini