MBEYA KAMA DAR MASHABIKI WAGAWANYIKA

Hili ni jukwaa ambalo mara nyingi huwa linakaliwa na mashabiki wa Mbeya City. Na leo nimeona hawa mashabiki wa mbeya city wakiishangilia Coastal Union. Ni shida yaani hapa Mbeya ni sawa na Dar kwa mashabiki wa Simba na Yanga. Mbeya City nao leo watacheza na Ndanda Fc ni hapahapa kwenye uwanja wa Sokoine nafikiri nitashuhudia mashabiki wa Prisons wakiwashangilia wale wa Ndanda fc

Popular posts from this blog

Kocha mpya wa muda wa Chelsea kabidi awaambie ukweli mashabiki wa Chelsea, hii ndio kauli yake …

Walimu wadaiwa kuacha vipindi kukimbilia kufanya kazi migodini