VANESSA MDEE ASHINDA TUZO ZA AFRIMA NCHINI NIGERIA!! #TheBestFemaleEastAfrica

Msanii wa bongo fleva Tanzania, Vanessa Mdee akiwa ameshikilia tuzo hiyo mara baada ya kukabithiwa!Vanessa Mdee ashinda tuzo ya msanii bora wa kike East Africa katika tuzo za AFRIMA huko nchini Nigeria."

Popular posts from this blog

Kocha mpya wa muda wa Chelsea kabidi awaambie ukweli mashabiki wa Chelsea, hii ndio kauli yake …

Walimu wadaiwa kuacha vipindi kukimbilia kufanya kazi migodini