Joseph Mbilinyi "Sugu" afunika bovu Kyela

Katika Mkutano wa muendelezo wa ziara anayo fanya Mh. Joseph Mbilinyi "Sugu" mkoani Mbeya na Nyanda za Juu kusini, leo alikuwa Kyela ambako ameacha histroia. Umati wa wana Kyela na vitongojivyake ulio jitokeza kwenye mkutano huu wa Mbunge kuwashukuru wana Kyela baadfa ya dhama walio mpelekea Prof. Mark Mwandosya kwenye chaguzi za serikali za  mitaa; si kuwa umeonyesha kukubalika kwa CHADEMA, bali umeonyesha utayari wa mabadiliko na kutuma ujumbe wa wazi kwa Prof. Mwandosya kuwa 2015 akea mkao wa kuachia madaraka kwa amani. Watu wamejoshwa!


Juu na chini msafara wa kwenda kwenye mkutano




Katika mkutano huu Mh. Sugu aliongozana na mwenyekiti BAVICHA mkoa wa Mbeya Ndg. Tito aka Nyama Ndogo lakini Mzito

Popular posts from this blog

Kocha mpya wa muda wa Chelsea kabidi awaambie ukweli mashabiki wa Chelsea, hii ndio kauli yake …

Walimu wadaiwa kuacha vipindi kukimbilia kufanya kazi migodini