UPDATE: BASI LAGONGANA NA COASTER HUKO TUNDUMA



Watu kadhaa wamejeruhiwa katika ajali iliyolihusisha Basi la Shalom Express lililokuwa likitokea Sumbawanga - Mbeya lililogonga Coaster iliyokuwa inatokea Mbeya- Tunduma eneo la Sogea, Tunduma jioni hii.

 Coster ilikuwa ikijaribu ku-overtake lori ndipo ilipogongwa na basi hilo.

Idadi kamili ya majeruhi wa ajali hiyo bado haijafahamika.

Popular posts from this blog

Kocha mpya wa muda wa Chelsea kabidi awaambie ukweli mashabiki wa Chelsea, hii ndio kauli yake …

Walimu wadaiwa kuacha vipindi kukimbilia kufanya kazi migodini