ANGALIA PICHA ZA AJALI YA BASI MLIMA NYOKA MKOANI MBEYA


Basi la Mbukio Missio muda mfupi baada ya kupata ajali eneo la Mlima Nyoka mkoani Mbeya.
Lori la mafuta lenye namba za usajili T 332 AGA ambalo dereva wake Godfrey Lyimo (33) alijeruhiwa vibaya na kukimbizwa hospitali kwa matibabu zaidi. Pichani lori hilo la mafuta liKiwa limepinduka.
Wananchi wakiwa eneo la ajali.
Taswira kutoka eneo hilo la ajali.
(PICHA ZOTE NA MBEYA YETU BLOG)