Hii taarifa inamuhusu binti aliyefungiwa ndani na kubakwa na wazazi wake kwa miaka mitano shadow

shadowMatukio ya wazazi kutesa watoto wao yameendelea kuchukua nafasi katika jamii nyingi dunia hadi kufikia hatua ya watoto kukimbilia katika vituo vya kulelea watoto yatima
Binti mmoja nchini Australia alifungiwa na wazazi wake ndani kwa miaka mitano huku wakitumia nafasi hiyo kumbaka ili kutimiza haja zao.
BINTI HUYO alizuiwa kula na kunyanyaswa kisha kubakwa nyakati wa usiku na mama yake mzazi pamoja na baba yake wa kufikia.
BINTI HUYO ambaye kwa sasa ana miaka 21 alizungumzia tukio hilo  ambalo amedai limetesa maisha yake kwa kiasi kikubwa huku akiahidi kutoa elimu kwa wasichana wenzake ili wasiweze kupata udhalilishaji kama alioupata yeye.

Popular posts from this blog

Upepo wakwamisha Uokoaji Meli iliyozama

Walimu wadaiwa kuacha vipindi kukimbilia kufanya kazi migodini