Mwanaume aliyechoma moto nguo mke wake na watoto, kisa.......angalia hapa


leo January 13 Habari inatokea maeneo ya Kimara Dar, inahusu mwanaume aliyemchomea mke wake nguo pamoja na nguo za watoto wake akiwa amelewa.
Akisimulia tukio hilo mwanamke huyo amesema aliondoka nyumbani hapo baada ya kutokuwa na maelewano na mume wake ambaye alimpiga mtoto, muda mfupi baadaye majirani wakamuita kwamba mume wake anachoma moto nguo zake.
Mwanaume huyo alipoulizwa sababu ya kufanya tukio hilo hakutaka kujibu zaidi ya kusema mke wake anajua sababu ya yeye kuchoma moto nguo hizo.
hkhk
Kaka wa mwanamke walishirikiana na dada yake kumpeleka mwanaume huyo kituo cha Polisi.
Bonyeza play kuisikiliza hekaheka hiyo hapa.

Popular posts from this blog

Upepo wakwamisha Uokoaji Meli iliyozama

Walimu wadaiwa kuacha vipindi kukimbilia kufanya kazi migodini