Mshindi wa BBA 2014,Idris Sultan Kanunua Nyumba ya maana maeneo ya Mbezi Beach Dar....Picha zote ziko hapa

Tanzania kupitia Idris Sultan ilibuka mshindi wa shindano la Big Brother Afrika 2014, kwenye interview nyingi alizofanyiwa Idris alisema pesa nyingi atatumia kusaidi watoto Tanzania na Africa.
 
Habari mpya ni kwamba super star huyu ametumia kiasi flani cha pesa zake kununua jumba lililopo Dar es salaam maeneo ya mbezi Beach.
 
 

Popular posts from this blog

Upepo wakwamisha Uokoaji Meli iliyozama

Walimu wadaiwa kuacha vipindi kukimbilia kufanya kazi migodini