BREAKING NEWS : WAZIRI MSTAAFU WA ELIMU JOSEPH MUNGAI AITOSA CCM NA KUHAMIA CHADEMA LEO

    Aliyekua Waziri wa Elimu Joseph Mungai na mkewe wametangaza kuhama CCM na kujiunga na CHADEMA Mafinga leo ambapo mgombea urais kupitia UKAWA /CHADEMA Edward Lowassa yupo mkoani Iringa kwaajili ya kampeni 

    Popular posts from this blog

    Upepo wakwamisha Uokoaji Meli iliyozama

    Walimu wadaiwa kuacha vipindi kukimbilia kufanya kazi migodini