VIDEO: Haya Hapa MAKUBWA Yote Kutoka Kwa Mwanamke Pekee Anayetaka Kuwa Rais wa Tanzania 2015.


Kampeni za uchaguzi mkuu wa Tanzania 2015 zimeshaanza tayari na tumewaona Wanasiasa mbalimbali wakisimama mbele ya Watanzania kutumia time yao kuwashawishi wapate zile YES za kutosha na hatimaye kuchukua nafasi ya uongozi na kuleta mabadiliko waliyoahidi.

Miongoni mwa waliosimama mbele ya Watanzania kuzitaka kura za Urais ni pamoja na mgombea Urais kupitia chama cha ACT WAZALENDO Anna Mghwira ambaye unaweza kuyapata yote makubwa anayoyasema kwa kutazama hii video hapa chini.

Popular posts from this blog

Upepo wakwamisha Uokoaji Meli iliyozama

Walimu wadaiwa kuacha vipindi kukimbilia kufanya kazi migodini