Nimekusogezea Karibu na Hotuba Zote za Viongozi wa UKAWA Mdau (+Audio)

Tukiwa tunaelekea katika uchaguzi mkuu wa Rais, Wabunge na Madiwani August 23 Chama Cha Mapinduzi (CCM) kilizindua kampeni zake za kunadi sera zao na ilani ya chama chao utaratibu huo ulianzia Dar Es Salaam katika viwanja vyaJangwani na utaendelea kwa vyama vyote ili kunadi sera zao nchi nzima.
3X6A6464
August 29 ilikuwa ni zamu ya Umoja wa Katiba ya Wananchi (UKAWA)kuzindua kampeni zake, UKAWA ambao ni mjumuiko wa vyama pinzani vinne vya siasa ambavyo ni CUFCHADEMANCCRA na NLD walizindua kampeni zao ambazo zilihudhuriwa na viongozi kadhaa wasiasa ambao walipata nafasi ya kutoa hotuba kwa umati ulio hudhuria uzinduzi huo.
3X6A6573
Baadhi ya viongozi walio hudhuria mkutano huo na kuongea na wananchi ni pamoja na waziri mkuu mstaafu Fredrick SumayeJames MbatiaJuma Duni Haji ambaye ni mgombea nwenza na Edward LowassaFreeman Mbowe na wengine wengi. Nimekuwekea hotuba za viongozi hao wa UKAWA hapo chini, waweza play au download .

Popular posts from this blog

Upepo wakwamisha Uokoaji Meli iliyozama

Walimu wadaiwa kuacha vipindi kukimbilia kufanya kazi migodini