MAKAVU LIVE: Kwa Hili Alilolifanya DIAMOND, Litamgharimu Sana Katika Safari Yake ya Kimuziki!


Diamond Platnumz 
Diamond platnumz kaonesha wazi msimamo wake katika mgonbea anayemtaka yeye. Sipingani na maamuzi yake, ila naona kama alikurupuka kufanya maamuzi hayo. Diamond angetambua kuwa washabiki wake wengi wanaompa support hawapo katika mrengo anaoushabikia yeye.

Nimepitia baadhi ya comments za followers wake na kugundua kuwa 90% wamekuwa disappointed sana na alichokionesha. 
Halafu ukiangalia ni kama wametumwa hivi baada ya ile hafla yao na mheshimiwa. Maana baada ya pale wasanii kibao wamekurupuka kuonesha support kwa Magufuli.

Kinachoendelea sasa hivi ni kwamba washabiki wameanzisha kampeni ya kutom-support tena Diamond kwa kuacha kumpigia kura katika tunzo anazoshindania. 
Namuonea huruma sana..

Popular posts from this blog

Upepo wakwamisha Uokoaji Meli iliyozama

Walimu wadaiwa kuacha vipindi kukimbilia kufanya kazi migodini