IMEKULA KWAKE! Sababu ya kushindwa kusajiliwa De Gea Real Madrid na maamuzi ya klabu hiyo kwa FIFA viko hapa…

Golikipa wa kimataifa wa Hispania ambaye anaichezea klabu ya Manchester United David De Gea, alikuwa akihusishwa kujiunga na klabu ya Real Madridya Hispania, hivyo kila kitu kilikuwa kimesha kuwa sawa ikiwemo maslahi binafsi ya mchezaji.
Football - Manchester United v Arsenal - Barclays Premier League - Old Trafford - 17/5/15 Manchester United's David De Gea applauds fans as he walks down the tunnel after being substituted after sustaining an injury Reuters / Phil Noble Livepic EDITORIAL USE ONLY. No use with unauthorized audio, video, data, fixture lists, club/league logos or "live" services. Online in-match use limited to 45 images, no video emulation. No use in betting, games or single club/league/player publications. Please contact your account representative for further details.
De Gea ambaye aliripotiwa usiku wa August 31 kuwa karibu na kujiunga na Real Madrid timu aliyokuwa akihusishwa kujiunga nayo tokea zamani, mpango wa De Gea kujiunga na timu hiyo ulikwama baada ya viongozi wa Man Unitedkuchelewa kutuma mikataba katika klabu ya Real Madrid, hivyo walituma dakika moja baada ya dirisha la usajili kufungwa.
1415622744685_wps_11_David_De_Gea_of_Mancheste
Tatizo la kuchelewa kwa documents za mikataba hiyo ni mfumo wa usajili waFIFA ndio umefanya documents kutoka klabu ya Man United kuchelewa kufika kwa Real Madrid, kutokana na Real Madrid kuwa na ushaidi wa hizo documentswatakata rufaa FIFA ili wapewe nafasi ya kumsajili De Gea nje ya muda wa usajili kwani mfumo wa FIFA ndio uliochelewesha usajili huo.
51940-lsh
Klabu ya Real Madrid ya Hispania na Man United walikuwa wamekubaliana kuuziana golikipa huyo kwa ada ya pound milioni 29 pamoja na kupewa golikipaKeylor Navas, kama rufaa yao haitashinda watalazimika kusubiri hadi dirisha dogo mwezi January, dirisha la usajili kwa upande wa Hispania na Ufaransatayari yashafungwa.

Popular posts from this blog

Kocha mpya wa muda wa Chelsea kabidi awaambie ukweli mashabiki wa Chelsea, hii ndio kauli yake …