28 PICHAZ: Kutoka Kwenye Show Kali ya #KillFest Jijini Dar es Salaam Usiku wa Kuamkia Leo!



Ruby. 
Ni Sept 26, 2015 ambapo mashabiki wa muziki wa Bongo Fleva walishuhudia Burudani ya nguvu kutoka kwa wasanii mbalimbali akiwemo, Ruby, Fid Q, Aika na Nahreel, Damian Soul, Barnaba na wengineo,Show hiyo iliyopewa jina la Kill Fest ilifanyika katika viwanja vya Leaders Club Dar es Salaam.

Fareed Kubanda aka Fid Q


Navy Kenzo (Aika na Nahreel).


Damian Soul


Vanessa Mdee.

Vanessa Mdee akitoa burudani ya nguvu.

Vanessa Mdee akiwa anatoa burudani na Barnaba




Dulla kutoka East Africa Radio na EATV.

Ben Pol.

Shaadee kutoka Clouds E ya Clouds TV.

Shetta akitoa burudani ya nguvu.



Joh Makini.

Joh makini.

G Nako.

Nikki wa pili.


Weusi.

-via millardayo

Popular posts from this blog

Kocha mpya wa muda wa Chelsea kabidi awaambie ukweli mashabiki wa Chelsea, hii ndio kauli yake …

Walimu wadaiwa kuacha vipindi kukimbilia kufanya kazi migodini