Hivi Ndivyo WAHYDA Anavyompenda Mumewe Mr. BLUE

Mke wa rapper Mr. Blue, Wahyda ameelezea jinsi hitmaker huyo wa Pesa alivyobadilisha maisha yake kwa kujaza furaha ndani ya familia yake.
“Baba wawili, baba watoto wangu, uko tofauti sana wacha nikupende daddy ur care & love ts undefine,” ameandika Wahyda kwenye Instagram. 
“Unanipenda nikiwa mzima unanipenda zaid nikiumwa..unanipenda kwenye raha unanipenda na kunijar zaid when I ve problems de same I…thank yew for ur support for being with me since day 1 during Khairriyah’s Pregoo..xorry kwa kukusumbua kudai sekela ucku ucku..urud nikusumbue tena kulea but seriously I Love you before,I love yew today & I love yew tomorrow..u ll alwys be iny heart no matter what,” aliongeza.
Katika wakati mwingine pia Blue amewahi kueleza hisia zake juu ya mke wake na hadi kudai kuwa amembadilisha kiasi cha kuacha kutumia kilevi na kuvuta bangi.

Popular posts from this blog

Kocha mpya wa muda wa Chelsea kabidi awaambie ukweli mashabiki wa Chelsea, hii ndio kauli yake …

Walimu wadaiwa kuacha vipindi kukimbilia kufanya kazi migodini