Breking news: Mtu moja apigwa risasi

Mtu moja ambaye jina lake halijapatikana amepigwa risasi na kufa papo hapo mitaa ya Moroko Kinondoni nyuma ya jengo la Air tel chanzo hakijafahamika

Popular posts from this blog

Upepo wakwamisha Uokoaji Meli iliyozama

Walimu wadaiwa kuacha vipindi kukimbilia kufanya kazi migodini