Picha: Gari Lateketea Kwa Moto Maeneo ya Makumbusho Jiji Dar!


Gari dogo aina ya Toyota Mark ii lenye namba za usajili T 601 AHG, likiteketea kwa moto eneo la Makumbusho Usalama kama lilivyonaswa na kamera ya Sufianimafoto jana jioni. Chanzo cha ajali hiyo hakikuweza kufahamika mapema. 

Gari hilo likiendelea kuteketea kw moto.

Kama kawaida ya wabongo wasiokuwa wanahabari rasmi wakinasa matukio ili kusambaza katika mitandao.

Foleni ya magari katika eneo hilo kila dereva akijaribu kushangaa huku moto ukizidi kuliteketeza gari dogo aina ya Toyota Mark ii lenye namba za usajili T 601 AHG eneo la Makumbusho 

Raia wakishuhudia tukio hilo wakati gari dogo aina ya Toyota Mark ii lenye namba za usajili T 601 AHG, likiteketea kwa moto. Picha kwa hisani ya Sufiani Mafoto.

Popular posts from this blog

Upepo wakwamisha Uokoaji Meli iliyozama

Walimu wadaiwa kuacha vipindi kukimbilia kufanya kazi migodini