DUH! NICKI MINAJ AANIKA SIFA ZA MWANAUME AMTAKAYE BAADA YA KUTEMANA NA MPENZI WAKE!

Baada ya kutengana na mpenzi wake
safaree Samuels, Hitmaker wa nyimbo ya
‘ Anaconda’ Nick Minaj ametaja vigezo vya
mpenzi atakayekua naye kwa sasa.
Alisema moja ya vigezo anavyovitaka ni
kupata mpenzi atakayekubali umahiri
wake katika kazi zake na kuheshimu
anachofanya.
“ Nataka mwanaume atakayeheshimu na
kuthamini uwezo wangu wa kufanya
kazi.”alisema Nick Minaj.
Rapa huyo mwenye miaka 32 ameamua
kuwa wazi baada ya kuvunjika kwa
uhusiano wake na mpenzi wake Safaree
uliodumu kwa miaka 12 na anahitaji
umakini katika ufanyaji wake wa kazi.
Katika majibizano yake na mtangazaji
Elliot Wilson alisema “Nimepoteza
sehemu kubwa ya maisha yangu kwa
kuachana na Safaree na sababu
mojawapo nilikua busy zaidi na kazi ”
“Labda wanahitaji uangalizi zaidi na
nilikua najali zaidi familia yangu,,sasa ni
kazi yangu kuchagua kazi ama
mapenzi.”alisema

Popular posts from this blog

Upepo wakwamisha Uokoaji Meli iliyozama

Walimu wadaiwa kuacha vipindi kukimbilia kufanya kazi migodini