Picha: Wachawi waliokuwa wakisafiri kwa ungo waanguka mkoani Njombe
Watu Wanaodaiwa Kuanguaka Kwa Imani za Kishirikina Wilayani Wanging'ombe Hao Hapo
Picha na Gabriel Kilamlya, Njombe
Watu Watatu Ambao Hawajajulikana Majina Yao Jinsi ya Kiume Wamekutwa Wameanguka Katika Kijiji Cha Utiga Wilayani Wanging'ombe Mkoani Njombe Kwa Imani za Kishirikina.
Watu Hao Ambao Hawajafahamika Mara Moja Wanakotoka Wanadaiwa Kuwa Walikuwa Safarini Kuelekea Songea Mkoani Ruvuma Lakini Walipofika Katika Kijiji Hicho Ndipo Walipoanguka.