Full Video ya Zitto KABWE kuhusu MAGUFULI na LOWASSA 2015

Kiongozi wa chama cha ACT Wazalendo Zitto Kabwe alikutana na waandishi wa habari Dar es salaam na kueleza mengi anayoyaona kuhusu Uchaguzi mkuu 2015, mipango ya ACT Wazalendo na mengine!
Tazama video hiyo kwa kubonyeza Play au pia waweza download hapo chini!

Popular posts from this blog

Kocha mpya wa muda wa Chelsea kabidi awaambie ukweli mashabiki wa Chelsea, hii ndio kauli yake …

Walimu wadaiwa kuacha vipindi kukimbilia kufanya kazi migodini