Sentensi za Mgombea Urais 2015 kupitia CCM Dkt Johh Pombe MAGUFULI

Mgombea wa Urais kupitia chama cha Mapinduzi, Dkt John Pombe Magufuli bado  anaendelea na ziara zake  za Uchaguzi 2015, huko mikoani.
Sasa hapa nina sentensi za mgombea huyo akiwa anazungumza katika ziara hizo.
Mhe. John P. Magufuli akizungumza na wakazi wa Mkwajuni, awahimiza Umoja ili kuleta mabadiliko ya kweli.  
Mhe. Magufuli akizungumza na Wakazi wa Wilaya ya Songwe, Kijiji cha Iseche awaahidi atakuwa nao bega kwa bega.  
Mhe. Magufuli akiwa Mkwajuni asema anatosha kuwa Rais wa Watanzania, akitoa sababu ya utendaji wake wa kazi.  

Popular posts from this blog

Kocha mpya wa muda wa Chelsea kabidi awaambie ukweli mashabiki wa Chelsea, hii ndio kauli yake …

Walimu wadaiwa kuacha vipindi kukimbilia kufanya kazi migodini