NEW VIDEO: Yamoto Band waachia video waliyofanya Afrika kusini na Godfather, ‘Cheza kwa Madoido’

Yamoto Band wameachia rasmi video iliyokuwa ikisubiriwa kwa hamu ya wimbo wao uitwao ‘Cheza Kwa Madoido’.

Mwezi June mwaka huu Yamoto walisafiri kwenda Afrika Kusini kushoot video hii na Godfather, mipango ambayo iliwezeshwa na Diamond Platnmuz aliyewaunganisha na muongozaji huyo pamoja na kuwalipia gharama za utengenezaji. Hii ndio video ya kwanza Yamoto kufanya nje na director mkubwa wa kimataifa. Kwenye video hii pia Diamond ataonekana.
Cheki video hiyo kwa kubonyeza play au waweza ipakua kwa kubonyeza Download!

Popular posts from this blog

Kocha mpya wa muda wa Chelsea kabidi awaambie ukweli mashabiki wa Chelsea, hii ndio kauli yake …

Walimu wadaiwa kuacha vipindi kukimbilia kufanya kazi migodini