Hawa ndio wasanii mbalimbali waliojitokeza viwanja vya Jangwani kwenye kampeni za UKAWA…(25 PICHAZ)



Endelea kukaa na mimi mdau wako kwenye Facebook, twitter na instagram kupitia jina langu la ‘kandiliyetu’ nakusogezea kile kinachoendelea kutoka kwenye kampeni za UKAWA katika viwanja vya Jangwani Dar es Salaam.

Hapa nina picha za wasanii wakiwemo wa Bongo Fleva na Bongo Movie waliojitokeza kusikiliza kile kitakachozunguzwa na viongozi mbalimbali.

Aunt Ezekiel na wasanii wenzake


Mwimbaji kutoka Bongo flevani, Timbulo (kulia)

Shamsa Ford. A.T na Chuzi (kulia)


Mwigizaji kutoka kwenye tasnia ya filamu, William Mtitu

Mwimbaji wa nyimbo za Dini, Bahati Bukuku.




Kwa mbali namuona mwimbaji wa Bongo Fleva, Bob Junior

Mwigizaji wa Filamu, Jackline Wolper




Mgombea Urais kupitia CHADEMA, Edward Lowassa akiwa na mgombea mwenza.

Mwenyekiti wa Chadema, Freeman Mbowe



Maalim Seif Shariff Hamad.



Popular posts from this blog

Kocha mpya wa muda wa Chelsea kabidi awaambie ukweli mashabiki wa Chelsea, hii ndio kauli yake …

Walimu wadaiwa kuacha vipindi kukimbilia kufanya kazi migodini