JACKLINE LOWASSA Amshukia Vibaya CHUCHU HANSY....Amwita Mnafiki...Atoa Ujumbe Mzito Kwa Wanaonunuliwa!


Staa wa filamu nchini Jackline Wolper, ameonesha wazi kuchukizwa na kitendo cha msanii mwenzake Chuchu Hansy ambae alikuwa ameungana nao katika kampeni za kumuunga mkono mgombea Urais kupitia umoja huo Mh. Edward Lowasa na baada ya siku chache Chuchu Hansy ameondoka Ukawa na kuamia Chama cha Mapinduzi CCM... Kupitia ukurasa wake wa Instagram Wolper amepost picha hiyo pamoja na kuandika maneno haya...

Popular posts from this blog

Kocha mpya wa muda wa Chelsea kabidi awaambie ukweli mashabiki wa Chelsea, hii ndio kauli yake …

Walimu wadaiwa kuacha vipindi kukimbilia kufanya kazi migodini