Mama mzazi wa ZARI atembelea ‘ikulu’ ya DIAMOND Jijini Dar -PICHAZ

Takribani wiki tatu baada ya Zari kujifungua, mama yake mzazi amefunga safari kuja Tanzania kumsalimia binti yake pamoja na kumuona mjukuu wake.

Mama yake Zari akiwa amembeba Tiffah
Zari ameshare picha ya mama yake akiwa amemtambelea nyumbani kwa Diamond akiwa amembeba Tiffah na kuandika;
“Good morning, tag someone your blessed to have in your life. Here is my mom and my daughter”

Popular posts from this blog

Kocha mpya wa muda wa Chelsea kabidi awaambie ukweli mashabiki wa Chelsea, hii ndio kauli yake …

Walimu wadaiwa kuacha vipindi kukimbilia kufanya kazi migodini