Sentensi za Mgombea Urais kupitia CCM Dkt John Pombe MAGUFULI mkoani Njombe ziko hapa….



Siasa zinaendelea kugusa headlines za habari kubwa kila siku, leo ninayo hii post nyingine kwa ajili yako mdau.. hii inahusu mgombea wa Urais kupitia Chama cha Mapinduzi, Dkt John Pombe Magufuli alipofanya kampeni za uchaguzi 2015 mkoani Njombe
Hapa nina picha pamoja na sentensi za Dkt John Pombe Magufuli alichokizungumza mkoani hapo 

.
.
Picha:Michuzi

Popular posts from this blog

Kocha mpya wa muda wa Chelsea kabidi awaambie ukweli mashabiki wa Chelsea, hii ndio kauli yake …

Walimu wadaiwa kuacha vipindi kukimbilia kufanya kazi migodini