VIDEO Yenye Maneno MAZITO MANNE ya Zitto KABWE


Kiongozi wa chama kipya cha kisiasa Tanzania ACT WAZALENDO Zitto Kabwe alikua miongoni mwa waliosimama kuzungumza kwenye siku ya kwanza ya kampeni za chama hicho Mbagala Dar es salaam ambapo mgombea Urais wao mwaka huu ni Mama Anna Mghwira.
Kwenye hii video hapa chini utakutana na yote makubwa kutoka kwa Zitto Kabwe.

Popular posts from this blog

Kocha mpya wa muda wa Chelsea kabidi awaambie ukweli mashabiki wa Chelsea, hii ndio kauli yake …

Walimu wadaiwa kuacha vipindi kukimbilia kufanya kazi migodini