ODAMA: Natamani Mtoto Mwingine!

da
Staa wa filamu za Kibongo, Jennifer Kyaka ‘Odama’.
 Imelda Mtema
Staa wa filamu za Kibongo, Jennifer Kyaka ‘Odama’ amefunguka kuwa anatamani kuongeza mtoto mwingine wa pili kwa kuwa ametambua utamu wa kuitwa mama.


Akizungumza na Ijumaa, Odama alisema kuwa mambo ya wasichana kupenda usichana zaidi na kutoa mimba kwa sasa yamepitwa na wakati na wanaofanya hivyo hawajui raha ya kuwa mama.
“Hakuna fahari kama ya kuitwa mama na hivi ninavyokwambia natamani kuongeza mtoto wa pili na soon nitakuwa mjamzito,” alisema Odama.

Popular posts from this blog

Kocha mpya wa muda wa Chelsea kabidi awaambie ukweli mashabiki wa Chelsea, hii ndio kauli yake …

Walimu wadaiwa kuacha vipindi kukimbilia kufanya kazi migodini