Hivi Mh John MNYIKA wa CHADEMA Yupo Kweli?

Mh Mnyika sisimizi aliye vaa viatu Vya tembo

Hivi Mh Mnyika yupo kweli?

Nimekumbuka mh Mnyika Leo kwa sababu yeye ndiye aliye sema Ana ushahidi wa kuwa Mh Lowassa ni fisadi na akasema Kama Mh Lowassa atataka aende mahakamani

Natagemea Siku moja Mh Mnyika autoe uo ushahidi

Lakini nimemkumbuka Mh Mnyika kwa sababu

Kuna watu hapa niliwambia hapa hapa wakina Charles Simon nikasema Mh Mnyika hana uwezo wa kufit kwenye viatu Vya Mh Zitto wakabisha Sana kwa sababu wengine kubisha ni kawaida yao

Ila ilikuwa ni principle tu kukubali au kutokukubaliana , by number Mnyika is out

Mh Mnyika Leo ana cheo sawa na alicho kuwa nacho Mh Zitto Chadema , (Naibu katibu mkuu ) wekeni kumbukumbu sawa

Leo nyote hapa ni mashahidi ameweza? Kashindwa tena kwa mbali sana

Leo katibu mkuu wa Chadema yuko nje ya office , tulitegemea naibu katibu mkuu achukue nafasi

Katibu mkuu ndie mtendaji mkuu wa chama sio?

Nilishutushwa hata viongozi wa chama cha demokrasia Na maendeleo chadema walio simamishwa bunda barua ilisaniwa na katibu mkuu vijana , nilianza kujiuliza maswali Mengi kulikoni hasa? Au naye ana likizo?

Leo msemaji wa chama Chadema ni Mh Mbatia kulikoni?

Mmeyakoroga wenyewe Mh Mnyika anashindwa kuyanywa?

Mkimuona MPE salamu zangu mjomba , najua moyoni hawakubaliani na uamzi huu wa Mh Mbowe

Mkija kuzunguka nchi nzima kumsafisha ccm iko ikulu tiyari, na huko ni kushindwa asubuhi

Mwambieni Mh Mnyika avae viatu vyake vijana tuna maswali nae na zaidi tunautaka ushahidi alio sema anao ,, bado tuna kumbukumbu nzuri

Hapa kazi tu
Wazo huru kutoka kwa mzksaditz/Jamii forums

Popular posts from this blog

Kocha mpya wa muda wa Chelsea kabidi awaambie ukweli mashabiki wa Chelsea, hii ndio kauli yake …

Walimu wadaiwa kuacha vipindi kukimbilia kufanya kazi migodini