MWIGULU NCHEMBA: Tunahitaji Rais Mchapakazi, Sio Aliyezungukwa na Genge la Wapiga Dili!


Mwigulu Nchemba akiteta jambo na Mwenyekiti wa CCM Mkoa wa Geita Ndg. Msukuma “KING” 

Mshindi wa nafasi ya Ubunge wa Viti Maalum Mkoa wa Geita Bi.Vick Kamata akiwashukuru na kuomba kura kwa Wananchi wa Bukombe wampigie J.P.Magufuli ifikapo tar.25.10.2015 

Mwenyekiti wa CCM Mkoa wa Geita Ndg.Joseph Msukuma akizungumza na Wananchi wa Bukombe kuwa yupo tayari kuzunguka Nchi nzima kuinadi Ilani ya CCM, Pia kumnadi Mgombea Urais wa CCM Dk.J.P.Magufuli kwa sababu ndiye Mgombea pekee mwenye dhamira ya dhati ya kuwatumikia watanzania tangu akiwa Naibu Waziri. 

“Tunahitaji Rais Mchapa kazi,sio Rais aliyezungukwa na Genge la wapiga Dili”Mwigulu. 

Sehemu ya Mamia ya wananchi waliojitokeza kwenye Mkutano wa kampeni uliofanyika katika Viwanja vya Shule ya Msingi Bukombe.

Popular posts from this blog

Kocha mpya wa muda wa Chelsea kabidi awaambie ukweli mashabiki wa Chelsea, hii ndio kauli yake …

Walimu wadaiwa kuacha vipindi kukimbilia kufanya kazi migodini