MTV VMA 2015: Tazama mavazi ya vituko aliyovaa Miley Cyrus (Pichaz)

Aliyekuwa host wa tuzo za MTV VMA 2015 zilizotolewa usiku wa Jumapili August 30,2015 nchini Marekani, Miley Cyrus ni miongoni mwa mastaa wanaozungumziwa zaidi kutokana na mavazi aliyovaa kwenye tukio hilo. 

Jionee mwenyewe picha za Miley alivyoonekana kwenye jukwaa la MTV VMA 2015.










Popular posts from this blog

Kocha mpya wa muda wa Chelsea kabidi awaambie ukweli mashabiki wa Chelsea, hii ndio kauli yake …

Walimu wadaiwa kuacha vipindi kukimbilia kufanya kazi migodini