Msanii KANYE WEST Atangaza Kugombea URAIS wa Marekani Mwaka 2020

Kanye West ametangaza kuwa atagombea urais mwaka wa Marekani mwaka 2020.
Kanye ametoa tangazo hilo kwenye tuzo za VMA zilizofanyika Jumapili hii.
“Ndio kama ambavyo mnaweza kuwa mmebashiri muda huu, nimeamua mwaka 2020 kugombea urais,” alisema Kanye na kuacha ukumbi mzima ukishangalia.

Popular posts from this blog

Kocha mpya wa muda wa Chelsea kabidi awaambie ukweli mashabiki wa Chelsea, hii ndio kauli yake …

Walimu wadaiwa kuacha vipindi kukimbilia kufanya kazi migodini