Hutaamini Alikokuwa Akiishi Nuh Mziwanda Kabla ya Kuhamia Kwa SHILOLE!

Nuh Mziwanda alikuwa akiishi kwenye studio ya muziki kabla ya kuhamia kwa mpenzi wake Shilole.
Muimbaji huyo amekiambia kipindi cha Hatua Tatu cha Times FM kuwa awali hakuwa na makazi maalum mpaka alipohamia kwa Shishi.

Nilikuwa nalala studio, nashinda studio tu. Zamani makazi yangu yalikuwa studio, nilikuwa producer studio moja hivi Ilala, so siku niliyoenda kwa Shilole nilienda na begi tu,” alisema.
Kwa upande mwingine Nuh alidai kuwa maisha ya vituko wanayoishi na mpenzi wake wameyachagua.
-Bongo5

Popular posts from this blog

Kocha mpya wa muda wa Chelsea kabidi awaambie ukweli mashabiki wa Chelsea, hii ndio kauli yake …

Walimu wadaiwa kuacha vipindi kukimbilia kufanya kazi migodini