PICHAZ: Shuhudia ZARI Akiboresha Muonekano wa ‘Ikulu’ ya DIAMOND PLATINUMZ

Upambaji wa ikulu ya Diamond Platnumz haujafikia kikomo.
11909146_1005560159468803_1153465621_n Zari akikagua muendelezo wa upambaji wa nyumba ya mchumba wake Diamond Platnumz
Mchumba wake Zari the Bosslady ameamua kusimamia awamu ya pili decor ya mjengo huo wa kifahari wenye swimming pool, bar na gym.
11910360_1501242880168291_597753971_n
Mama Tiffah amepost picha kadhaa kwenye Instagram kuonesha hatua hizo. “#StateHouseStillInTheMaking by mama mpola Oops by mama @princess_tiffah & @lilq_is_bae,” ameandika Zari.

Popular posts from this blog

Kocha mpya wa muda wa Chelsea kabidi awaambie ukweli mashabiki wa Chelsea, hii ndio kauli yake …

Walimu wadaiwa kuacha vipindi kukimbilia kufanya kazi migodini