Watangazaji wauawa kazini wakiwa LIVE kwenye Interview…(Video)


Aliyehusika kufanya tukio hilo inasemekana ni mwajiri wa zamani wa kituo hicho cha Televisheni na aliamua kusambaza video ya tukio hilo baada ya kufanya tukio hilo.
Polisi walifanikiwa kumweka chini ya ulinzi muhusika wa tukio hilo lakini wakati akiwa bado kwenye gari lake kabla ya kuwekwa mikononi mwa polisi alijipiga risasi na kufariki dunia akiwa ndani ya gari.
Hili ni tukio lingine ambalo limetokea jana August 26 katika jiji la Virginia Marekani.
Video ya tukio zima iko hapa…

Popular posts from this blog

Kocha mpya wa muda wa Chelsea kabidi awaambie ukweli mashabiki wa Chelsea, hii ndio kauli yake …

Walimu wadaiwa kuacha vipindi kukimbilia kufanya kazi migodini