KUFURU: Bondia Floyd MAYAWEATHER Aonesha JEURIya ‘parking’ ya Magari Aghali Duniani!

Bondia Floyd Mayweather, 38, ambaye anajiandaa na pambano lake la mwisho dhidi ya Andre Berto litakalofanyika MGM Granda mjini Las Vegas, Septemba 12, ameonesha magari yake matano ya kifahari yenye thamani ya dola milioni 10.6 kwa pamoja katika klabu yake ya masumbwi mjini Las Vegas, Nevada.
Floyd MagariMagari ya Mayweather yakiwa yamepaki nje ya klabu yake ya ngumi, MBC
Magari hayo ni pamoja na Ferrari 458 Italia ($300,000), Bugatti Veyrons mbili (kila moja dola milioni 1.5) na convertible Bugatti (dola milioni 2.5) na Koenigsegg yenye thamani ya (dola milioni 4.8.)
tmt1
Floyd alifika kufanya mazoezi akiendesha gari aina ya Koenigsegg yenye thamani ya dola milioni 4.8. Kuna gari mbili tu za aina hiyo duniani.
tmt2
Mayweather akiwasili katika klabu yake ya ngumi mjini Las Vegas, Nevada

Popular posts from this blog

Kocha mpya wa muda wa Chelsea kabidi awaambie ukweli mashabiki wa Chelsea, hii ndio kauli yake …

Walimu wadaiwa kuacha vipindi kukimbilia kufanya kazi migodini