VIDEO: Maneno MAZITO ya kwa wanaomkebehi LOWASSA

Ni waziri mkuu mstaafu ambaye amejiunga na headlines za UKAWA kwa mwaka 2015 akitokea chama cha mapinduzi CCM, kwenye hii video hapo chini amezungumza ishu mbalimbali za CCM na maneno yanayosemwa dhidi ya Lowassa, waweza bonyeza play kuicheki au download kuipakua!

Popular posts from this blog

Kocha mpya wa muda wa Chelsea kabidi awaambie ukweli mashabiki wa Chelsea, hii ndio kauli yake …

Walimu wadaiwa kuacha vipindi kukimbilia kufanya kazi migodini